DStv Inogilee!

HUNIFAHAMU yatinga sokoni…

Albam ’Hunifahamu’ ya msanii Dully Sykes ambayo ilikuwa ikusubiriwa kwa muda mrefu na washabiki wa muziki huu wa kizazi kipya imeshaingia mtaani.

Albam ’Hunifahamu’ ya msanii Dully Sykes ambayo ilikuwa ikusubiriwa kwa muda mrefu na washabiki wa muziki huu wa kizazi kipya imeshaingia mtaani.

Albam hiyo ina jumla ya track 15 zikiwa kwenye mahadhi tofauti tofauti kuanzia Ragga,Zouk,RnB na style nyingine zakutosha .

Cover ya Hunifahamu

Na ladha hizo tofauti zilizomo ndani ya albam ndio zitadhihirisha ile kauli ya Dully ya kusema yeye si msanii bali ni mwanamuziki ,kwani ndani ya hunifahamu anatumia vifaa halisi vya music na sio studio pekee.

…..Kwenye albam hii ndio nimekuja kuwathibitishia kuwa sasa nimekuwa mwanamuziki halisi na sio msanii,kwani hata perfomance zangu zitakwenda kwa mwendo wa (live).

Aliorodhesha nyimbo zilizomo ndani ya albamu kuwa ni Hunifahamu,Aisha Mapromise,Ningejuwa (Remix),Babe de Anthone,Maria Maria,Eva (Remix),Dully’s Chick,Binti,Hidaya,Vanswellah,Nyambizi (Remix),Modesha,.Tata,Uko Wapi,Bijou.

Source: Darhotwire

{mos_sb_discuss:6}

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW