Hutaamini walichokiongea Wema Sepetu na Masanja kwenye kuuaga mwili wa mtoto ‘Patrick’ Leaders Club (+video)

Wema Sepetu na Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji ni moja ya watu maarufu waliojitokeza leo Julai 7, 2017 kwenye viwanja vya Leaders kuuaga mwili wa Mtoto Patrick. Sikiliza kauli zao za mwisho walizotoa kwa Muna na mumewe Peter hapa chini

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW