Michezo

Huu ndio mkwara wa mashabiki wa Simba “Al ahly atakufa nyingi leo” (+ Video)

Ikiwa leo ndio siku ambayo mitanange mkubwa wa ligi ya mabingwa barani Afrika itafanyika katika mataifa tofauti barani Afrika, macho na masikio ya wengi yakonchini Misri ambako matanage kati ya Simba ya Tanzania watakipiga na Al ahly kutoka Misri.

Ikumbukwe Simba wanaenda Misri tayari wakiwa nafasi ya tatu kweny kundi lao D na huu ndio ulikuwa mkwara wa mmoja ya mashabiki wa Simba kuelekea kwenye mtanange huo ambaye pia ni muandaaji wa nyimbo alimaarufu Producer:

Producer Tony drizzy
Inspector Haroun

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents