Burudani

Huu ndio ujumbe wa Ebitoke kwa Ben Pol kwenye birthday yake

Ni vizuri kumuandikia ujumbe mtu wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ili kumuonyesha jinsi unavyomjali.

Ebitoke ametumia vizuri nafasi hiyo kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, Ben Pol ambaye pia anadaiwa kuwa na mahusiano naye japo yamekuwa na mashaka kwa watu wengine.

“Help me wish my handsome! #HappyBirthday #HappyNewAge ??? @iambenpol #Kidume #Bentoke,” ameandika Ebitoke kwenye mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents