Burudani

Huu ndio ujumbe wa Jah Prayzah kwa Diamond Platnumz

Japo Jah Prayzah ni staa mkuwa nchini Zimbabwe lakini bado anaendelea kumshukuru na atamkumbuka kila siku Diamond Platnumz baada ya kufanya video ya wimbo wake wa ‘Watora Mari’ kutazamwa zaidi ya mara milioni nne kwenye mtandao wa Youtube kitendo ambacho hakijawahi kutokea katika maisha yake ya muziki.

Kupitia mtandao wa Instagram, Jah amemshukuru hitmaker wa ‘Marry You’ kwa kuandika:

This is one guy i can give thumbs up all day. Help me thank @diamondplatnumz for the role he has played in my musical journey and growth.All the best my brother

Hii ndio tafsiri yake ya kiswahili

Huyu ni mtu ambaye ninaweza kumpa pongezi kila siku. Nisaidie kumshukuru @diamondplatnumz kwa jukumu alizocheza katika safari yangu ya music na ukuaji. Kila la kheri kaka yangu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents