Habari

Huu ndio Ujumbe wa kwanza wa Elizabeth Michael Lulu, baada ya kumaliza adhabu yake

Huu ndio Ujumbe wa kwanza wa Elizabeth Michael Lulu, baada ya kumaliza adhabu yake

Star wa Filamu Hapa nchini Elizabeth Michael Lulu ametoa Shukrani zake za dhati kwa Mwenyezi Mungu na wote walioshiriki katika Kkipindi chote alichokuwa amepitia wakati akitumikia adhabu ya kesi iliyokuwa ikimkabili .


Lulu ameandika kuwa anafahamu kuna wengi sana walimuombea katika kipindi hiko, wapo waliolia sana, wapo waliojitoa kwa pesa na mambo mengine kama binadamu anapenda kutoa shukrani zake za dhati na yeye ni ushahidi tosha kwa maisha aliyoyapitia

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,ameandika kwa urefu zaidi na ameelezea kilikuwa ni kikombe tu ambacho lazima akinywe na yalikuwa ni majira tu ambayo lazima ayapitie.

Na huu ndio Ujumbe wake;-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents