AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Huu ndio ujumbe wa Mo Dewij kwa Simba baada ya ushindi wa jana

Huu ndio ujumbe wa Mo Dewij kwa Simba baada ya ushindi wa jana

Mohamed Dewij ambaye pia ni muwekezaji katika timu ya Simba amefunguka mengi baada ya ushindi wa Simba jana dhidi ya Mbabane kutoka nchini Swatziland ambaye kwa sasa inaitwa Eswatini.

Mo Dewij ambaye ndio mara yake ya kwanza kwenda uwanjani kuangalia mpira na baada ya mchezo aliandika maneno haya:- ” Hongereni Simba kwa ushindi! Kwa kweli wachezaji wetu wamejituma. Sasa tujipange kwa mchezo wa marudiano wiki ijayo. Lengo letu ni kuwa Mabingwa wa Afrika! Isha’Allah tutafanikiwa siku moja hivi karibuni. #ThisIsSIMBA #NguvuMoja “

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW