Michezo

Huu ndio utabiri wa mchambuzi wa soka hapa nchini, Mwalimu Kashasha katika mchezo kati ya Al ahly dhidi ya Simba (+ Video)

Mchambuzi mahiri wa mchezo wa soka hapa nchini, Mwalimu Alex Kashasha amemzunguzmia mchezo kati ya Al ahly dhidi ya Simba katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika, mchezo unaotarajiwa kufanyika leo usiku nchini Misri.

Katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa saa nne usiku Simba wanaenda huko wakiwa na pigo la kufungwa goli 5 kwa sifuri dhidi ya Vita club ya DR Congo. Mwalimu Kashasha ametabiri mchezo huo kama ifuatavyo:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents