Siasa

Huu ndio uteuzi wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi, amemteua Mwinyi Talib Haji, kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar.

Mwanasheria Mkuu mpya wa Zanzibar, Mwinyi Talib Haji

Uteuzi wa Mwinyi Talib umeanza leo Novemba 3, 2020.

Kabla ya uteuzi huo Mwinyi alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Soma taarifa kamili hapo chini

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents