Michezo

Huu ndio uwanja utakaopigwa mechi ya Madrid na Juventus leo (Picha)

Millenium Stadium Cardiff ndio uwanja utakaotumika katika mchezo wa fainali ya Uefa Champions league kati ya mabingwa watetezi wa kombe hilo Real Madrid dhidi ya mabingwa wa ligi ya Italia, Juventus mchezo utapigwa leo katika jiji la Cardiff . Uwanja huo unauwezo wa kuchukua watu 74,500 na ulizinduliwa June 1999.

BY HAMZA FUMO

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents