Michezo

Huyu ndio Golikipa anayemnyima usingizi Guardiola (Video)

Mlinda mlango wa Syria, Ibrahim Alma ameonekana kuwa chaguo namba moja kwa Meneja wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola licha ya bosi huyo  kutoliweka wazi swala hilo.

Meneja wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola

Alma anasifika kwa uwezo wake awapo uwanjani hasa namna anavyoweza kutumia mikono yake katika kupiga mpira lakini kwa upande wa Guardiola amelifanya siri.

Mlinda mlango wa Syria, Ibrahim Alma

https://youtu.be/xq8P-srbVq0

Golikipa wa Syrian Ibrahim Alma  akicheza dhidi ya Japan

https://youtu.be/Ghpyjbyx8z0

BY HAMZA FUMO

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents