Habari

Huyu ndio Mtangazaji wa TBC aliyefariki dunia katika Hospitali ya Lugalo – Video

Huyu ndio Mtangazaji wa TBC aliyefariki dunia katika Hospitali ya Lugalo - Video

Nguli wa Tasnia ya habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo katika Hospitali ya Jeshi Lugalo DSM ,alipokua akipatiwa Matibabu. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents