Michezo

Huyu ndiye mpinzani mwingine wa Anthony Joshua

Mara baada ya Anthony Joshua kutwaa ubingwa dhidi ya Joseph Parker Jumamosi ya wiki iliyopita, bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder amesema kuwa yupo tayari kupambana na Muingereza huyo.

Bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder

Bingwa huyo wa WBC, Wilder ameingia ulingoni mara 40 huku akishinda mapambano yote na 39 kwa njia ya ‘knocked out’ (KO).

Bondia, Anthony Joshua (kushoto) na Deontay Wilder (kulia)

Anthony Joshua amchakaza Parker bila huruma (+picha)

Anthony Joshua ametwaa mikanda ya IBF na WBA huku akiuchukua mwingine wa WBO dhidi ya Joseph Parker na hivyo kumfanya kusalia na mkanda mmoja pekee ambao hajauchukua ambao ndiyo huo wa WBC unaoshikiliwa na Wilder.

Bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents