Ibraah amshukuru Harmonize kwa kumsindikiza hadi nyumbani kwao na kuonana na mama yake mzazi (+Video)

Baada ya mapokezi hayo nyumbani kwao Mtwara akiwa na CEO wa lebo ya @kondegang @harmonize_tz huu ndio ujumbe alioandika @ibraah_tz ;-

‘Nashukuru mwenyezi MUNGU 🙏🙏 Ni kwa baraka zake leo Nimekutana Na familia yangu Na ivyo unavyo ona hapo ndio nilivyo pokelewa kijijini kwetu #LUKOKODA Pia Naushukuru uongozi wangu wangu #kondemusicworldwide pamoja na kaka yangu @harmonize_tz 💪❤ kwakunisindikiza kwetu hakika hi ni history Ambayo haito futika kichwani mwangu 🙏🙏.

https://www.instagram.com/tv/CIIlsl5hK9m/

https://www.instagram.com/tv/CIIlsl5hK9m/

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW