Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Ice boy aeleza jinsi alivyojitoa kwenye kampuni ya Calisah ya kuzalisha na kuuza mbegu za kiume (+Video)

Ice boy aeleza jinsi alivyojitoa kwenye kampuni ya Calisah ya kuzalisha na kuuza mbegu za kiume (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ice boy amefunguka mwanzo mwisho jinsi alivyojitoa kwenye kampuni ya Calisah ya kuzalisha na kuziuza mbegu za kiume. Ice boy amefunguka hayo wakati anapiga stori na bongo five juu ya ujio wake baada ya kuachia ngoma yake ya Nenda aliyomshirikisha Belle 9.

Ice boy amesema “Nilijitoa kwenye kampuni ya Calisah kwa sababu nilikuwa nakonda sana” mbali na hilo Ice boy amesema ” Kuna wanawake wanaoteswa sana na mapenzi hapa nchini kwahiyo wanaona ni bora wapate mwanaumw wazae nae tu yeye alee mtoto sio kuingia kwenye mahusiano na mwanaume ambaye atamtesa”

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW