Burudani

Ice Cube apata heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’

By  | 

Rapper na muigizaji wa Marekani, Ice Cube amefanikiwa kuungana na mastaa wengine duniani waliowahi kupatiwa heshima ya nyota ya Hollywood Walk of Fame.

Kupata heshima ya nyota hiyo ni ndoto ya kila staa duniani kwa kuwa si kila mtu anaweza kupata nafasi hiyo. It’s a great day. I want to thank everybody in the city of Los Angeles, the city of Hollywood, anybody that had anything to do with me getting a star on the Hollywood Walk of Fame. I really appreciate it,” amesema Ice wakati wa sherehe za kupatiwa heshima hiyo.

“You don’t get here by yourself. When you’re coming up doing music, movies, just trying to be creative, you never figure you’ll be on the Hollywood Walk of Fame one day. So today is not really about Ice Cube, it’s about all the people who helped me get here,” ameongeza.

Heshima hiyo imekuja kipindi muafaka wakati zikiwa zimebakia siku mbili kabla ya rapper huyo kutimiza miaka 48 ya kuzaliwa kwake.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments