Habari

Ice Prince akerwa na runinga ya kimataifa iliyoonesha video hii ya ‘umaskini’ wa Tanzania

“In Tanzania 515 chidren die everyday before they reach the age of 5 (nchini Tanzania watoto 515 hufariki kila siku kabla ya kutimiza umri wa miaka mitano)” yanasomeka maandishi kwenye video iliyowekwa na rapper wa Nigeria, Ice Prince.

09f1f8def11b11e2a1fa22000a1f9261_101

Hata hivyo, video hiyo ambayo haijulikani ilirushwa kwenye kituo gani cha habari cha kimataifa, imemkera rapper huyo ambaye anasema mataifa ya magharibi yamekuwa yakionesha tu umaskini wa Afrika na kuacha kuonesha hatua za maendeleo tulizopiga.

“This is always just all about us they get to show the rest of the world ! Yes that’s us but we BALL harrrrrrdddd too! The world must see Africa! The world must see Us,” ameandika Ice Prince ambaye mwaka huu alishinda tuzo za BET kwenye kipengele cha Best International Act.

“What I’m saying is, this are the type of stories they tell about us on media overseas.. They don’t talk about the good sides us or potentials we have. Yes I agree that this exist in Africa but there’s another side of us that is beautiful and amazing.. It shld be seen too.”

Video hiyo imevuta pia hisia ya mtangazaji wa MTV Base na Choice FM, Vanessa Mdee aliyeandika: But where do they get their stats from? Which TANZANIA is this? Anyway I can’t get worked up over ignorance – we must just show them.”

Swali la kujiuliza ni kweli Tanzania inapoteza watoto 515 kila siku? Watafiti wa masuala ya afya tusaidieni hapa.

Itazame video hiyo hapo chini.

Video(mp4)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents