Soka saa 24!

Idadi kubwa ya watu duniani bado inaamini leo ni mwisho wa dunia

end

Ikiwa tayari tumeshaiona siku ya leo, bado kuna idadi kubwa ya watu duniani inaamini kuwa leo ni mwisho wa dunia.

Imani hii ni kwa mujibu wa kalenda ya zamani ya ‘Mayan’ ambayo inasema leo ndio mwisho wa dunia.

Mayan ni jamii ya watu wa kijijini wa kusini mashariki mwaka Mexico na sehemu za America ya kati kama Guatemala.

Huko America asilimia 12 ya watu wanaamini kuwa dunia inaisha leo, kwa mujibu wa NASA.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW