Burudani

Idris Sultan kuja na TV show mbili, zitakazooneshwa kupitia Vuzu na BET

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amesema anakuja na vipindi viwili vya TV vitakavyorushwa kupitia vituo vya runinga vya Vuzu, Afrika Kusini na BET Africa.

Idris2

Idris amesema kuonekana kwake kwenye mitandao wa kijamii isidhaniwe kuwa amekosa kazi za kufanya.

“Ukiwa mtu maarufu watu wanahitaji kukuona muda wote na huwezi kupata interview kla siku, hivyo ni sehemu pekee unapoweza kuwa karibu na watu ili wajue unafanya nini. Kwahiyo hii sehemu ya kazi yako, nafanya a lot of thing, first nina like two TV shows ambazo zinatakiwa kuwa host up on Vuzu pamoja na BET,” Idris alikiambia kipindi cha Mkasi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents