Burudani

If ya Davido yakaa kileleni Afrika Kusini

Ngoma ya If ya Davido imezidi kutoboa nchini Afrika Kusini.

Wimbo huo umeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya nyimbo zilizochezwa zaidi katika vituo vya radio vya nchini huo – hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na RAMS.

Takwimu hiyo inaonyesha kuwa wimbo huo umechezwa mara 143 kati ya Juni 23 hadi kufikia Juni 27. Wimbo unaofuatia katika orodha hiyo ni ‘Tigi’ wa Sands.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents