Habari

IGP Sirro afunguka kuhusu taarifa za Kamanda Mambosasa kuhamishwa Dar Es Salaam

Baada ya taarifa kusambaa mtandaoni kuwa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar Es Salaam, Lazaro Mambosasa amehamishwa kituo cha kazi, hatimaye Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro amekanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents