IGP Sirro: Nilimwambia Tundu Lissu aje atueleze anatishgiwa na nani, Lema kwenye uchaguzi tulikuwa tunazungumza sana leo anasema alitishiwa (+Video)

“Hata alipokuja hapa nchini tumejitahidi sana kumpata tuweze kujua kitu gani kimefanyika lakini hakutaka, tumejitahidi sana mpaka kupeleka barua kwenye chama chake tunamuomba aje hata asindikizwe na Balozi, hivi ukitishiwa kwa maneno hata silaha jibu lake ni kukimbilia ubalozi”

Kama wameenda kutembea kidogo nje mimi nawaomba waje tujenge nchi yetu hakuna matishio wale hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria, mimi nipo tayari hata kumpta mtu ulinzi, Jeshi la Polisi hatuna habari yoyote ya kutishiwa kiongozi yoyote”

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW