IGP Sirro: Pemba askari wetu alichinjwa na kunyang’anywa silaha, tulikamata mpaka mabomu ya kienyeji (+Video)

IGP Simon Sirro ametoa kauli hiyo hii leo Novemba 19, 2020, jijini Dar es Salaam, wakati akitoa taarifa ya mwenendo wa usalama wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu na kwamba endapo mtu yeyote akitoa taarifa ya kutishiwa na akaomba ulinzi, yeye yuko tayari kumpa ulinzi wa familia yake.

IGP Sirro ameeleza kwa ujumla matukio yote yalivyotokea ZANZIBAR yaani PEMBA NA UNGUJA wakati wa uchaguzi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW