Habari

IGP Sirro “Tunamsaka mganga mmoja anayeagiza watu kubaka machangudoa na kuwauwa kisa utajiri” (Video)

Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Tanzania(IGP), SimonĀ Sirro akiwa ziarani Mkoani Shinyanga wakati akizungumza na Makamanda wa Polisi wa mikoa ya kanda ya Ziwa, amesema wanamsaka mganga ambaye anawatuma watu kwenda kuwabaka na kuwauwa machangudoa 59 na kuchukua viongo vyao vya ndani ili waweze kuwa matajiri.

https://www.instagram.com/p/B7oOhNDh03p/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents