Mahojiano
Soulja Boy adata na penzi la Blac Chyna (+picha)
Ikiwa nio siku chache zimepita tangu mwanamitindo, Blac Chyna kuachana na mchumba wake Kid Buu. Hatimaye mrembo huyo amenasa penzi jipya la Rapper Soulja Boy.
Siri hilo imefichuka jana wakati wawili hao walipoonekana wakiwa pamoja shopping katika maduka ya Saks Fifth Avenue jijini New York Marekani.
Hata hivyo katika kukazia, wakati wawili hao wakiwa kwenye gari wakitoka Shopping. Soulja Boy kupitia ukurasa wake aliposti picha wakiwa waili na kuandika “Happy Valentine’s Day 💕😊“
Hata hivyo, hakuishia hapo akaenda pia kwenye ukurasa wake wa Twitter na ku-tweet .
Blac Chyna katika maisha yake ya umaarufu, alishawahi kuwa kwenye mahusiano na rapa Tyga, Kid Buu na Rob Kardashian .