Soka saa 24!

Ikulu yakanusha taarifa ya kumtumbua Balozi wa Tanzania Marekani

Kitengo cha Mawasiliano Ikulu, kupitia kwa Mkurugenzi wake, Gerson Msigwa wameutaka Umma kupuuzia taarifa zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa Rais John Magufuli ametengua nafasi ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, barua inayosambazwa ni ya kughushi “Fake” na haina ukweli wowote.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW