Tupo Nawe

Imetosha Foundation yachangisha pesa za kuwasomesha watoto wenye ualbino (Video)

Taasisi ya Imetosha Foundation iliyoanzishwa miaka mitano iliyopita kwajili ya kuwasaidia watu wenye ualbino, Jumamosi hii imefanya tukio la kuchangisha pesa kwaajili ya kuwasomesha watoto wenye ualbino. Mratibu wa Foundation hiyo, Herny Mdimu asema mwaka huu wamepokea maombi ya watoto wenye albino zaidi ya mia tatu ambao wanahitaji msaada wakati wao uwezo wao ni kuwasomesha watoto 55.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW