Burudani

Inasemwa mimba itakuwa wewe binadamu? – Ommy Dimpoz

Msanii wa Bongo Flava, Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa huwa haumizwi na maneno ya watu nje ya muziki wake.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Cheche’ amesema yeye kama msanii akiishi kwa kufikiria watu wanasema nini atakuwa na maisha magumu sana kwani atakuwa anaishi maisha ambayo si yake.

‘Mimi kiukweli siumizi kichwa am jus living my life na ndio maana utaona kesho yake nitaendelea vile vile as long as ninajua mipaka yangu ni ipi, kwa hiyo sina haja ya kuanza ku-expalain mbele za watu we don’t need to do that cha msingi hutakiwi kutoka nje ya mstari because wewe ni kioo cha jamii,” Ommy Dimpoz ameiambia Bongo5.

“Lakini kuna vitu vingine it very person kujaribu kuumiza kichwa kwa sababau ya maneno, maneno yapo inasemwa mimba mpaka anazaliwa mtoto itakuwa wewe binadamu bwana,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents