Burudani

Inspector Haroun aeleza alivyokutana na Nandy pia afunguka kukerwa na wasanii kushindwa kujieleza mbele ya RC Makonda (+ Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Inspecta Haruni Babu amefunguka mwanzo mwisho kuhusu kumpa nafasi Nandy kwenye wimbo wake wa Sharubu za babu.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na Bongo5 Inspecta amefunguka hayo na kueleza jinsi alivyokerwa na wasanii kushindwa kujieleza mbela ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents