Burudani ya Michezo Live

Inspector Haroun atuma ombi WCB mbele ya Diamond, Wizkid na Tiwa Savage (Video)

Msanii mkongwe wa muziki Inspector Haroun muda mchache baada ya kuwashukuru Wasafi Festival kwa kupewa nafasi ya kushiriki kwenye tamasha hilo, alimuomba Diamond amtafutie kolabo na wasanii wa label hiyo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW