Burudani ya Michezo Live

Inspector Haroun kumbe ni Baba Lao, afungua kampuni kimya kimya ‘Inspector Haroun Sunflowers Cooking Oil’ (Video)

Msanii wa mkongwe wa muziki, Inspector Haroun amefunguka kuzungumzia kitu anachokifanya kwenye maisha yake nje na muziki na kumfanya asionekane akilalamika njaa kama baadhi ya wasanii wenzake.

 

Msanii huyo amedai kwa sasa ana miaka mitatu anafanya biashara ya mafuta ya kupikia ambapo kwa sasa anauza zaidi ya lita 1000 za matufa kila baada ya miezi kadhaa.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5.

Written and edited by @yasiningitu

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW