Inspekta na FA collabo

Inspektah na FA collabo

Inspekta na FA collabo

Katika hali ya kushangaza wale wakali wawili na wakongwe kabisa
katika game ya Hip Hop nchini, ambao kuna kipindi mmoja wao alijibu nyimbo ya mwenzake na
kuleta mkanganyiko ambao wengine tulihisi kama biff ya kiaina…wanategemewa kufanya track ya pamoja!!


Wakongwe hao Mwana FA na Inspector Haroun..hata hivyo wameamua kufanya
siri kubwa ya jina la ngoma hiyo ambayo tayari imeshaandikwa na kuna
taarifa za kuaminika itagongwa ndani ya studio za ukweli B-Hitz
chini ya producer Hermy B.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents