Michezo

Inter Milan yaipiga Spurs michuano ya Champions League

Klabu ya Inter Milan ikiwa nyumbani imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tottenham mchezo wa kundi B michuano ya Champions League.


Licha ya bao la mapema la Spurs kupitia kwa mchezaji wake Christian Eriksen dakika ya 53 halikuweza kufua dafu mbele ya Inter ambao wameibuka na ushindi kupitia mabao yao ya jioni dakika ya 85 na 90+2 kupitia kwa wachezaji wake Mauro Icardi na Matias Vecino.

Wachezaji wa kikosi cha InterMilan, Handanovic (8), Skriniar (6), De Vrij (7), Miranda (6), Asamoah (6), Vecino (7), Brozovic (6), Politano (7), Nainggolan (6), Perisic (6), Icardi (7)

Wachezaji wa Alina, Candreva (6), Keita (5), Valero (NA)

Wachezaji wa Tottenham, Vorm (6), Aurier (7), Sanchez (6), Vertonghen (6), Davies (5), Dier (5), Dembele (7), Lamela (6), Eriksen (7), Son (5), Kane (7)

Wachezaji wa Alina, Lucas (7), Winks (5), Rose (NA)

Mchezaji bora wa mechi hiyo akiwa ni, Samir Handanovic wa Inter Milan .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents