Bongo Movie

Irene Paul: Sihitaji kuwa na mume wala mtoto

Muigizaji wa filamu, Irene Paul amesema kwa sasa hahitaji kuwa na mume wala mtoto.

11117151_1581004155490417_1672267217_n

Irene ameiambia Bongo5 kuwa muda huu anataka kuutumia ili kuangalia alikosea wapi ili asonge mbele.

“Watu wanasema tunajifunza kila siku na mimi naendekea kujifunza,” amesema mrembo huyo.

“Kiukweli kwa sasa hivi sitafuti mchumba, sitafuti mume not anytime soon. Sitafuti mtoto lakini I am committed! Kwa kifupi sihitaji mume wala mtoto. Nimekuwa nikichukua muda mwingi kujutia, miaka mitatu iliyopita nilikuwa mdogo sasa hivi nimekuwa, sasa hivi ni mdada na ni mama lakini nakuja kujutia kupoteza muda. Najikuta sijafanya kitu, najikuta kuna vitu vingi navijutia nimepoteza muda for nothing! Ndio maana nasema sasa hivi nimejifunza, nataka nijibadilishe, sitaki kuendelea kuwa Irene Paul wa Kitanzania, sasa nataka kuwa Irene Paul wa kimataifa na ninaweza.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents