Burudani ya Michezo Live

Irene Uwoya akiri ni mjamzito, aonyesha furaha yake (Video)

Msanii wa filamu Irene Uwoya amekiri kwamba ni kweli yeye ni mjamzito huku akipata kigugumizi kumueka wazi baba kijacho wako.

Muigizaji huyo amedai hana sababu ya kuficha suala hilo kwa kuwa anaamini watoto ni baraka na anapenda kuwa nao wengi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW