Bongo Movie

Irene Uwoya apewa baraka na baba mkwe (Video)

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya yupo nchini Burundi ambapo amepata fursa ya kutembelea kaburi la aliyekuwa mume wake, Hamad Ndikumana.

Muigizaji huyo pia amekutana na wazazi wa marehemu Ndikumana na kupewa baraka za wazazi hao.

Irene alibahatika kupata mtoto mmoja na Ndikumana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents