Burudani

Irene Uwoya awajibu wanaosema kaolewa na ‘Kibeni 10’ Dogo Janja (Video)

Msanii wa filamu, Irene Uwoya amefunguka kuwazungumzia wanaomsema kaolewa na ‘kibeni 10’. Muigizaji huyo amesema haoni wala hasikii kitu juu ya mume wake, Dogo Janja. Wawili hao kwa mara kwanza waliongozana pamoja katika ndoa ya Shilole na Uchebe iliyofanyika weekend iliyopita huko mitaa ya Mikocheni kwa Mawaziri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents