Aisee DSTV!
SwahiliFix

Irene Uwoya, Jacqueline Wolper wachaguliwa nafasi hii ndani ya Yanga SC (+Video)

Mabingwa wa kihistoria ligi kuu soka Tanzania Bara Yanga SC hapo jana siku ya Alhamisi imeunda kamati ya uhamasisha na kutangazwa rasmi leo ambayo Mwenyekiti wake ni Suma Steven Mwaitenda huku miongoni mwa wajumbe wake ni pamoja na wasanii wa filamu nchini Irene Uwoya, Jacqueline Wolper huku akiwemo mchekeshaji King Mwalubadu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW