Burudani

Is Rihanna Sexy or just too much?!

rihanna
Katika ripoti zilizosambaa mtandaoni, wadau wengi wa muziki wanahoji kana kwamba Rihanna kapitilizia kwa utupu.

Rihanna amepata shutuma kali za kuzidisha utupu katika music video zake pamoja na mavazi na hata picha anazopigwa katika magazines, kana kwamba hazifai jamii hasa kwa wale mafans wake wenye umri mdogo.

rirr

Kuna hatua imefika Rihanna kutokubaliwa kuonyesha muziki wake au kufanya shows katika nchi kama China kwa kile kinachosadikika kwamba ni ‘Too much’

riri

Mdau unaonaje hapo? is she Too much?

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents