Burudani

Ivan bado anampenda mno Zari, asema mpambe wake (Picha)

Anaishi maisha ya kifahari, ni tajiri, anamiliki magari ya gharama kubwa, ana mijengo, biashara kibao na ana uwezo wa kumpata msichana yoyote anayemtaka kwa kutumia nguvu ya utajiri wake, lakini Ivan bado hajamsahau Zari the Bosslady aliyezaa naye watoto watatu wa kiume.

11887059_787072338070556_1690187165_n

Kwa mujibu wa mpambe wa King Lawrenc, Ivan ambaye ni raia wa Uganda anayeishi nchini Afrika Kusini, hajaweza kukubali matokeo kuwa Zari kwa sasa yupo mikononi mwa Diamond Platnumz.

11848972_427713067434713_1589795927_n
Ivan

Lawrenc anaamini kuwa Ivan bado hajampata au kumwona msichana mwingine mrembo zaidi ama kama Zari ili awe kusonga mbele na maisha yake.

11327388_130237883993111_1598321086_n

Lawrenc amepata msichana wa kizungu nchini humo aitwaye Miss Rose na anaamini kuwa kama Ivan akipata msichana kama huyo ndipo atakapoweza kumsahau Zari ambaye kwa sasa ana mtoto na Diamond.

10946619_1548759222046860_1864220495_n
Miss Rose

“I think if @ivandon can find a beautiful gal like @therealmissrose, then he can move on from @zarithebosslady,” aliandika Lawrenc kwenye picha ya mrembo huyo aliyoiweka kwenye Instagram.

12071194_1627628534164824_1042897726_n

Ivan pia amekuwa akitumia akaunti yake kuwataka followers wake wamemfollow mrembo huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents