Habari

Ivanka awa msaidizi rasmi wa baba yake Rais Donald Trump

Ivanka Trump anajiunga rasmi kwenye uongozi wa baba yake, Donald kama mwajiriwa asiyelipwa mshahara kwenye cheo cha msaidizi wa Rais, ikulu ya White House imesema.

Wataalam wa maadili walikosoa vikali baada ya wiki iliyopita kubainika kuwa Bi. Trump angepewa madaraka makubwa zaidi bila kujiunga rasmi na uongozi.

Mume wake, Jared Kushner, ni mshauri mkuu wa Rais Donald Trump.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents