Izzo Bizness atoa ushauri kwa wasanii wapenda kiki, ataja wasanii 6 wanaofanya vizuri Tanzania (+Video)

Rapper wa Bongo Fleva na Mtangazaji wa kituo cha Clouds Plus @izzo_bizness_mbeya ameongea kuhusu ukimya wake kwenye muziki na kusema kuwa huenda kwa sababu hategemei kiki ndio mana watu wanaona kama yupo kimya.

@izzo_bizness_mbeya pia ameongelea suala la kiki lonavyohatibu muziki wa Bongo Fleva na kutengeneza kizazi kibaya kijacho.

Mbali na hilo @izzo_bizness_mbeya pia amewataja wasanii 6 ambao yeye anawakubali mpaka hivi sasa na wanaofanya vizuri.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW