Uncategorized

J Cole atangaza kurejea kwa tamasha lake la DreamvilleFestival, atoa lista ya wasanii watakaoshiriki, Davido ndani

Rapper Jermaine Lamar Cole alimaarufu J Colewrld Ametangaza Kurejea Kwa Tamasha lake Kubwa Linalofahamika Kama #DreamvilleFestival ambalo Mwaka Jana Lilishindwa Kufahamika na Kuachia List ya Mastaa Ambao watakuwemo ndani yake

Show Hiyo Itakayopigwa April 6 Mwaka Huu Huko North Carolina Iliahirishwa Mwaka Jana Kutokana na Kimbunga Kiitwacho Hurricane Florence ambacho kilisababisha Madhara Makubwa Katika Maeneo ya North Carolina na Kufanya Lisifanyike Tamasha Hilo.

Show Hiyo Itafanyika Dorothea Dix Park in Raleigh, North Carolina huku Ikiwa na Mastaa Kama 21 Savage, Big Sean, SZA,Teyana Taylor, 6LACK, Pamoja na Nelly Huku Star Kutoka Nchini Nigeria @davidoofficial Akiwa Kwenye List ya Mastaa watakaoshuka Kwenye Stage Siku Hiyo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents