AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

J.Cole atangaza ziara yake ya ‘KOD’ na ratiba ya maeneo atakayozunguka

Baada ya albamu ya KOD kufanya vizuri na kujiwekea rekodi kibao, J.Cole ametangaza ziara yake ya muziki kwa mwaka huu.

Ziara hiyo aliyoipa jina la KOD Tour inatarajiwa kuzunguka katika miji kibao nchini Marekani akifuatana na Young Thug.

Cole anatarajiwa kuanza kutumbuiza kwenye ziara hiyo kwa mara ya kwanza August 9 katika ukumbi wa AmericanAirlines Arena mjini Miami.

Ziara hiyo inatarajiwa kufikia tamati Oktoba 10 kwenye mji wa Boston.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW