Burudani

J.Cole awataja rappers watano anaowakubali

J. Cole amewataja rappers watano anaowakubali zaidi wakati akiongea na Angie Martinez kwenye kituo cha redio cha Power 105.1 jana kupromote album yake mpya, 2014 Forest Hills Drive.

j.COLE2

Aliwataja rappers wa nne bila mpangilio maalum kuwa ni Tupac Shakur, Notorious B.I.G., Nas, na bosi wake wa Roc Nation, Jay Z.

Hata hivyo alijikuta njia panda kuamua kati ya Eminem na André 3000 atakayejaza nafasi ya tano.

“I wanna say [André] so bad, but Eminem is like solo dolo,” alisema. Andre’s incredible, but he’ll tell you himself, he was in a duo so his workload was a little less, but creatively he’s miles beyond.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents