Burudani

J. Cole kuzindua Big Brother ‘Stargame’


Ripoti kutoka uongozi wa Big Brother Africa zimetoa tamko kwamba rapper hit maker na Grammy nominee, J. Cole atakwepo kwenye uzinduzi wa Big Brother season ya 7 mnamo May 6 2012 nchini Afrika ya Kusini.

Shindano la safari hii, Big Brother ‘Stargame’ , litachukua washiriki wawili kutoka nchi tofauti baani Afrika na dola za kimerikani zitatolewa kwa mshindi baada ya siku 91 za kukaa ndani ya jumba la Big Brother huko Johannesburg, South Africa.

Uchambuzi wa washiriki utafanyika Dar es Salaam kesho katika hoteli ya Holiday Inn ambapo watahiniwa wanachaguliwa wawili wawili.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents