Burudani

Ja Rule kuja na reality show, double album na ziara ya dunia na Ashanti

Rapper Ja Rule aliyewahi kutumikia kifungo cha miezi 28 jela kuanzia mwaka 2011 anatarajia kuanza kuonekana zaidi kwa kuja na reality show, double album na ziara ya dunia na Ashanti.

IMG_1801

Kwa sasa Ja Rule anaishi na mke wake Aisha na watoto wao watatu, mama yake na mama mkwe watakaonekana kwenye reality show, Follow the Rules inayotayarishwa na Queen Latifah na itaanza kuonekana MTV Oct. 26.

Akiongea na mtandao wa Billboard, Rule alisema:

Me and Ashanti are about to go on a big world tour… and we’re putting together a music and film project with our whole Natural Born Killers tour and EP. It’s kind-of like a Streets is Watching type of film.”

Kuhusu muziki aliandika: What I realized when I was away is I may go crazy if I don’t make music. It’s very therapeutic for me. So even if I never put out another record ever, I have to make it to keep myself sane. But I am going to put out this double album. With some records you listen and say, ‘That brings me right back’ and some records you say, ‘Hmmm… that’s different but I like it.’ This is a few records on one album.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents