Michezo

Jack Wilshere huenda akaondoka Arsenal kwa mkopo

Klabu ya Arsenal iko tayari kumtoa kwa mkopo mchezaji wao kiungo wa kati wa Uingereza Jack Wilshere ili kupata fursa ya kujumuika katika kikosi cha kwanza cha timu ya taifa.

_90965754_wilshere_rex

Wilshere mwenye umri wa miaka 24,ambaye amekuwa majeruhi kutokana na jeraha la mguu aliichezea Arsenal mara tatu pekee msimu uliopita baada ya kupata jeraha hilo.

Aliichezea Uingereza mara sita pekee msimu ulioipita ,ikiwemo mechi tatu katika mashindano ya Euro2016, lakini hakuchaguliwa katika kikosi cha kwanza cha mkufunzi Sam Allardyce wiki hii.

Arsenal kwasasa imefanya usajili wa mchezaji wa Switzerland Granit Xhaka kwa pauni milioni 35 katika msimu huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents