Burudani

Jackie Chan athibitisha ujio wa filamu ya ‘Rush Hour 4’

Umekuwa mfuatiliaji wa filamu za Rush Hour za Jackie Chan?

Chan kutoka China amethibitisha kuwa muendelezo wa filamu hiyo ambayo ni Rush Hour 4 itatoka. Akiongea na kipindi ha The Cruz Show kupitia Radio ya Power 106 FM, muigizaji huyo amethibitisha hilo.

“For the last seven years we’ve been turning down the script, turning down the script, yesterday we just agreed. Probably end of this month they’ll have a second draft. Next year they’ll probably start, I hope if Chris Tucker agrees,” amesema Jackie.

Inadaiwa kuwa filamu hiyo itaanza kutengenezwa mwakani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents