Burudani

Jackie Chan uso kwa uso na James Bond

Kama wewe ni mpenzi wa muvi hasa za ngumi basi jina la Jackie Chain sio geni kwako na hata sura yake pia utakuwa umeshainakili, hivyo basi tegemea kumuona tena mwaka huu katika filamu nyingine mpya.

Jackie Chain ambaye atakutana tena uso kwa uso na Pierce Brosnan, ambaye amewahi kuigiza kama James Bond, utawaona katika muvi mpya inayoitwa ‘The Foreigner’ itakayo zinduliwa rasmi ifikapo Septemba 30 mwaka huu.

Jackie Chain na Pierce Brosnan, wamewahi kuigiza pamoja katika muvi kama vile Die Another Day, The World Is Not Enough  na nyinginezo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents